FANYA HAYA KUSHINDA KASINO UNAPOCHEZA SLOTI YA FOXPOT

 


Sloti ya Foxpot

 

Una mistari 12 ya malipo ya ushindi kila ukishinda pia una nafasi ya kushinda mpaka mara 1000 ya dau lako, sloti hii inapatikani Meridianbet kasino ya mtandaoni, inaitwa Foxpot ni rahisi sana kuucheza kwa kuwa umetawaliwa na matunda.

 

Usipoteze muda wako kuwaza sehemu ya kuingiza hela, swali lako limejibiwa kwa sloti bomba ya kasino ya mtandaoni, ingia mchezoni kupitia tovuti ya meridianbet hapa.

 

Jinsi ya Kucheza Sloti ya Foxpot

 

Ni rahisi sana! Unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye kasino ya mtandaoni kisha kuchagua mchezo wa Foxpot ujikusanyie maokoto yako!

 

Sloti ya Foxpot ina alama na machaguo mbalimbali Ili ushinde, unatakiwa upate alama tatu zenye kufanana kwenye sloti hii yenye kolamu 5 na mistari 12 ya malipo.

 

Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ina machaguo mbalimbali ambayo yanakupa fursa ya wewe mchezaji kuucheza mchezo huu kiurahisi. Kwa kubofya alama ya + na – ambazo zipo kwenye kitufe cha Bet/ Bashiri, itakupa nafasi ya kuweka dau lako unalolitaka.

 

Kuna chaguo la Autoplay ambalo litakuwezesha wewe (mchezaji) kuzungusha mizunguko Automatiki. Alama za sloti hii ni ya matunda ambayo ni Cherry ambalo lina thamani ndogo, Zambarau ambalo litakurudishia mara 1.5 ya dau lako huku likufuatiwa na Ndimu ambalo litakulipa mara 2.5 ya dau uliloliweka.

 

Kama ikitokea umepata alama 1, 2 au 3 za Lucky 7 basi utalipwa mara tatu ya dau uliloliweka huku alama moja ya Lucky 7 ikiwa ina uwezo wa kukulipa mara 10 ya dau lako, na alama 2 za Lucky 7 zikitakurudishia mara 15 wakati alama 3, zitakurudishia mara 25 ya dau lako.

 

Sio hivyo tu, kama ukipata alama ya Wild utarudishiwa mara 40 ya dau lako. Kumbuka, alama ya Wild inauwezo wa kubadilisha alama yeyote kwenye mchezo huu na kukupatia ushindi isipokuwa alama ya bonasi. Unasubiri nini? Jiunge leo na Meridianbet na upate bonasi kibaoa, Odds za kubwa na Jackpoti kedekede kwa kutembelea tovuti ya Meridianbet hapa.




Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post