TIGO WATUA VIWANJA VYA BUNGE , PATA MKOPO WA SIMU KWA TSH. 1000


Mkuu wa Kitengo cha Udhibiti na Mahusiano na Serikali kutoka Tigo Bi . Sylvia Balwire akitambulishwa bungeni baada ya maswali na majibu katika Mkutano wa 12, Kikao cha 29 leo Ijumaa Mei 19, 2023, ambapo bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imewasilishwa.

Na Mwandishi Wetu.

Kampuni namba moja nchini kwa utoaji wa Huduma za Kidigitali Tigo ipo katika viwanja vya bunge,ikiwa na banda mahususi litoalo huduma na bidhaa zao mbalimbali kwa wabunge , wafanyakazi na wateja mbalimbali ambapo kubwa zaidi ni uwepo wa simu janja ambayo kila mtanzania anaweza kujipatia simu kwa mkopo wa malipo ya Tsh 1000/siku ili aweze kuishi maisha ya kidigitali sambamba na kuendelea kufikisha huduma za mawasiliano maeneo ya vijijini kwa ushirikiano kati yao na Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) .

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post