WANAFUNZI CHUO KIKUU MZUMBE WAJENGEWA UWEZO WA KUCHANGAMKIA FURSA NA KUTAMBUA VIPAJI VYAO

Afisa Rasilimali watu wa kampuni ya Barrick North Mara, Gema Salamba, akiongea na wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Mzumbe mkoani Morogoro wakati wa kongamano hilo lililodhaminiwa na kampuni ya Barrick.
Afisa Rasilimali watu wa kampuni ya Barrick North Mara, Gema Salamba, akiongea na wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Mzumbe mkoani Morogoro wakati wa kongamano hilo lililodhaminiwa na kampuni ya Barrick.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wakiuliza maswali mbalimbali kwa watoa mada.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wakiuliza maswali mbalimbali kwa watoa mada.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wakiuliza maswali mbalimbali kwa watoa mada.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wakifuatilia mada
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wakifuatilia mada
Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Mahusiano na taasisi za Nje cha Chuo Kikuu cha Mzumbe, Dk. Lucy Massoi (wa pili kulia) akibadilishana mawazo na Afisa Rasilimali Watu wa Barrick Bulyanhulu, Abusiti Kajolo ( kushoto) wakati wa kongamano hilo la AIESEC,(katikati) ni Mkurugenzi wa Sheria na Utawala wa Fedha AIESEC Tanzania, Modesta Msokwa,

****
Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali za ajira na kujiajiri zilizopo nchini sambamba na kutambua vipaji vyao na kuviendeleza.

Hayo yamebainishwa wakati wa kongamano lilioandaliwa na taaisi ya AIESEC lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Mzumbe cha Morogoro na kujumuisha wanafunzi wengine kutoka vyuo mbalimbali vya elimu ya juu kwa udhamini wa kampuni ya Barrick.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post