USIKU WA KIHISTORIA UCL KUANDIKWA LEO


The Rise of Capitalism kinyumbani hapa tunaita kukua kwa ubepari ni moja kati ya mada nilizokuwa nazipenda sana kwenye somo la historia kidato cha 5 & 6. Moja ya vitu nilivyokuwa napenda ni jinsi wazungu walikuwa wakitumia njia nyingi kuingiza mfumo wao kwetu Afrika na hii inajidhihirisha hata leo kwenye mfumo wa kisasa haswa kwenye soka letu.

 

Huko ulaya leo wiki hii ni vita vya kuifundi ndani ya uwanja, kikubwa soka lionekana na walimu wa timu zote watachuana kuonesha uwezo, lakini wewe mtu wangu wa nguvu hakikisha kwenye jamvi lako hujakosea kuchagua timu la ushindi, Meridianbet wamekurahisishia kazi kwa kutoa odds kubwa na machaguo mengi bashiri kibingwa uwe bingwa.

 

Usiku wa mabingwa Ulaya unaenda kuweka historia kwa mara nyingine tena, katika dimba la Giuseppe Meazza itawakutanisha mahasimu wawili kwenye soka la Italia, Inter Milan vs AC Milan kitawaka.

 

Mchezo wa kwanza ulimalizika kwa ushindi wa mabao 2-0 Inter alimakalisha Milan, odds kubwa pekee zipo Meridianbet, usisahau kucheza kasino ya mtandaoni, kwenye mchezo huu Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya ushindi Inter kwa odds kubwa 2.18 huku Milan akipewa 3.47, sare ina 3.28. Unampa nani ashinde mechi hii? Bashiri Meridianbet kwa odds kubwa.

 

Mechi ya kisasi Man City vs Real Madrid

 

Hii ni mechi ngumu na huenda ikawa ngumu kidogo kuitabiri, mchezo wa kwanza Kelvin De Bryune aliinusuru City kwenye kipigo kwa bao lake la kusawazisha na kufanya matokeo kuwa 1-1, kwenye dimba la Etihad hii itakuwa mechi ya kisasi kwa Pep Guardiola na vijana wake. Meridianbet wametoa odds kubwa kwa ushindi 1.64 City, 4.90 Madrid ashinde, sare ina odds kubwa ya 4.11, chaguo ni lako unamuamini nani kwenye mkeka wako.

 

Ligi ya Uropa hatua ya nusu fainali itapigwa siku ya Alhamis mechi mbili, Bayer Leverkusen vs AS Roma, Sevilla vs Juventus mchezo wa kwanza uliisha kwa sare nani atafuzu hatua ya fainali?

 

Kwako wewe mpenzi wa kasino ya mtandaoni kuna michezo mingi na sloti za kijanja za kupiga hela, pia ukijisajili Meridianbet unapata mizunguko 50 ya bure kucheza kasino, kujisajili ni rahisi gusa hapa.

 

NB: Meridianbet imekuja na Jackpoti kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments