Tanzia : ASKOFU DKT. JOHN KANONI NKOLA AFARIKI DUNIAAliyekuwa Askofu wa Kanisa la African Inland Church Tanzania (AICT) Dayosisi ya Shinyanga Dkt. John Kanoni Nkola amefariki dunia leo asubuhi Jumatano Mei 17,2023 wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Bugando Jijini Mwanza.


Taarifa zaidi tutakuletea.

R.I.P Askofu Nkola

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments