MSHINDI WA MIL 26 MERIDIANBET AZUNGUMZA KWA MARA YA KWANZA

 


 

 Jisajili Meridianbet leo upate mizunguko 50 ya bure kucheza moja ya mchezo uupendao ya kasino ya mtandaoni kuna Aviator, Poker, Titan Roulette na mingine mingi. Kujisajili bonyeza hapa https://a.meridianbet.co.tz/c/NpUbSL

 

Ilikuwa ni usiku wa Pasaka Aprili 9 moja ya siku yenye bahati sana kwa kijana aliyekataa jina lake litajwe, historia ya Maisha yake ameiandika kwa wino mzito mithili ya uji wa volcano.

 

Kutoka ulimwengu wa odds kubwa Meridianbet Tanzania, mwamba ametambulishwa kama mshindi mkubwa wa kiasi cha Tsh 26,997,852/= (Milioni Ishirini na Sita Laki tisa na Elfu Tisini na Saba Mia Nane Hamsini na Mbili), huu ni ushindi mkubwa katika Maisha yake tangu aanze kubashiri na Meridianbet kama alivyosema.

 

“Tangu nimeanza kubashiri kupitia Meridianbet nilikuwa Napata kiwango cha kawaida lakini leo nadhani ilikuwa ni bahati kwangu, niliamua kuweka Tsh 20,840/= na timu zangu kumi, kila moja niliipa machaguo tofauti kwa kuwa Meridianbet wanatoa machaguo tofauti kwenye mechi moja” Mshindi wa Mil 26 TZS.

 

Ushindi huu ni kawaida sana kuupata Meridianbet kwa sababu kila siku washindi wapya wanashinda kwenye kasino ya mtandaoni na ubashiri wa soka, ukiweka odds kubwa unajiweka kwenye nafasi ya kushinda Zaidi, kwa sababu hata Mfalme huyu wa kubashiri soka alitengeneza mkeka wenye odds kubwa ya 1439 na akashinda.

 

Maisha ni rahisi kama tu utaichagua Meridianbet sehemu pekee inayokupa machaguo bora kila mechi, unaweza kuturbo/ Casho Out, odds kubwa na mengine kibao, lakini bila kusahau kuna Jackpoti kubwa kabisa ya Tsh Mil 85,000,000/= kwa timu 13, endapo ikatokea umechana tiketi yako kwa timu moja au mbili unalipwa kuanzia 500,000/= TZS-10,000,000/= TZS PIGA *149*10#


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments