MERIDIANBET YAJA NA KAMPENI MPYA!


 

Katika kutambua umuhimu wa Usalama kwa vyombo vya Moto hapa nchini, Hususani madereva wa pikipiki maarufu kama Bodaboda, Meridianbet Tanzania wakali wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni imeanzisha kampeni inayoitwa Mtaa Kwa Mtaa Na Meridianbet yenye lengo maalum la kugawa Reflectors kwa madereva wa bodaboda wa maeneo yote ya jiji la Dar es Salaam kwa kushirikiana na Jeshi la polisi la Usalama Barabarani.

 

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara odds kubwa zaidi, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

 

Akiongea na waandishi wa habari wakati wa zoezi hilo, Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Matina Nkurlu, aliyeambatana na timu ya masoko kutoka Meridianbet alisema wameamua kushirikiana na jeshi la Polisi la Usalama Barabarani kutoa elimu ya Usalama barabarani pamoja na kugawa reflectors kwa madereva bodaboda.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette

 

Sababu ya kufanya hayo kupunguza ajali nyingi sana hususanI nyakati za usiku na ndiyo maana wameamua kutoa reflectors kwa madereva wa bodaboda wote waliopo jijini Dar es Salam, maeneo yaliyofikiwa mpaka sasa ni  Kawe, Kinondoni, Sinza, Mwenge na Tangibovu huku lengo ni kuwafikia madereva bodaboda wote wa jiji lote la   Dar es Salaam.

 

"Meridianbet tuna msemo wetu wa CHAGUA TUKUPE, huu ni maalum kwa wateja wetu wote kuwa tunawapatia kile wanachotaka, baada ya kusikia kilio cha madereva hawa wa Bodaboda tumeamua kuwapatia Reflectors hizi maalum ili  kujikinga na majanga ya barabarani kama ajali lakini pia ni kuimarisha usafi na utanashati wao binafsi" Nkurlu

 

Jisajili na Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza kasino ya mtandaoni, kusanya mizunguko yako na odds kubwa za soka hapa.

 

 

NB: Meridianbet Jackpoti inaendelea kwa mechi 13 odds kubwa, dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments