WASABATO SHINYANGA WAENDESHA CHANGIZO UNUNUZI BASI LA SHULE, WAUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS SAMIA KUBORESHA SEKTA YA ELIMUWasabato wakiwa katika Changizo la ununuzi wa Basi la Shule ya Awali na Msingi SAPPS.

Na Marco Maduhu, SHINYANGA

KANISA la Waadventista Wasabato Shinyanga, wameendesha zoezi la changizo kwa ajili ya kununua Basi la Shule katika Shule ya Awali na Msingi ya Kanisa hilo iliyopo Ndala Manispaa ya Shinyanga 
(SAPPS) Shinyanga Advetist Pre and Primary School,  ili kuboresha huduma za usafiri kwa wanafunzi katika shule hiyo.

Zoezi la Changizo hilo limefanyika leo Machi 4, 2023 katika Kanisa la Mtaa wa Shinyanga Mjini, na kukutanisha Makanisa ya Wasabato Mitaa Mitano, ukiwamo Mtaa wa Mwasele, Lubaga, Ushirika, Ndembezi na Mwenyeji Shinyanga Mjini.

Askofu wa Jimbo la Nyanza ukanda wa dhahabu Enock Sando, akizungumza wakati wa Ibada ya Sadaka ya kumtolea Mungu kununua Basi la Shule hiyo ya (SAPPS), amesema kuunga mkono elimu (Support) ni kumuunga mkono Mungu, pamoja na Juhudi za Serikali chini ya Rais Samia katika uboreshaji wa Sekta ya elimu ili wanafunzi wasome katika mazingira Rafiki.

“Unapounga mkono elimu una muunga Mkono Baba wa Mbinguni na Rais Samia, sababu katika shule yetu hii ya Awali na Msingi ya (SAPPS) hawasomi tu watoto wa Wasabato bali wa jamii nzima,”amesema Askofu Sando.

“Mabadiliko katika Jamii yana anza na mtu mmoja, na pia Tanzania itajengwa na Watanzania wenyewe, hivyo nawaomba waumini tujitoe kuchangia fedha ili basi la shule lipatikane, Mungu ameshawekeza kwako kwa kukupatia Ajira, Ofisi, Miradi mbalimbali, Biashara, sasa anahitaji umtolee ili uendelee kupalilia Mibaraka,”ameongeza.

Naye Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo ya Awali na Msingi (SAPPS) Elijah Wadea Waritu ambaye pia ni Mchungaji, amesema shule hiyo ina jumla ya wanafunzi 170 na wana Mabasi Mawili tu, huku uhitaji ni kuwa na Mabasi Mawili tena yafike Manne, na katika ombi hilo la changizo wameomba angalau kupata Basi moja ili yafike matatu na kuboresha zaidi huduma ya usafiri kwa wanafunzi.

Aidha, Changizo hilo endelevu na mtu yeyote ambaye ataguswa kuchagia upatikanaji wa Mabas katika Shule hiyo ya SAPPS ili kuunga mkono uboreshaji Sekta ya Elimu na kupalilia Mibaraka yake kwa Bwana.
anaweza kutuma pesa yake kupitia Account hizi.

024103007194-Benki ya NBC

30710056115-Benki ya NMB

Jina la Account Shinyanga Adventist Pre and Primary School.

Askofu wa Jimbo la Nyanza ukanda wa dhahabu Enock Sando, akitoa neno wakati wa Ibada ya kumtolea Bwana Sadaka ya ununuzi wa Basi la Shule ya Wasabato SAPPS ya Awali na Msingi.

Waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato wakiwa katika Ibada ya kumtolea Bwana Sadaka ya ununuzi wa Basi la Shule ya SAPPS.

Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato Mtaa wa Shinyanga Mjini Razalo Mbogo akiwa katika Ibada ya kumtolea Bwana Sadaka ya ununuzi wa Basi la Shule.

Mama Mchungaji akiwa katika Ibada ya kumtolea Bwana Sadaka ya ununuzi wa Basi la Shule ya SAPPS.

Waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato wakiwa katika Changizo la Basi la Shule ya SAPPS.

Waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato wakiendelea na Changizo la Basi la Shule ya SAPPS.

Wanakwaya wakiimba nyimbo kwenye Ibada ya kumtolea Bwana Sadaka ya kununua Basi la Shule ya SAPPS.

Wanakwaya wakiendelea kuimba nyimbo kwenye Ibada ya kumtolea Bwana Sadaka ya kununua Basi la Shule ya SAPPS.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post