BENKI YA CRDB, SILENT OCEAN ZAINGIA MAKUBALIANO YA KUWASAIDIA WAFANYABIARA

Kaimu Mkurugenzi wa Wateja wadogo na wakati wa Benki ya CRDB, Bonaventure Paul (kushoto) kwa Pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Usafirishaji Mizigo ya Silent Ocean, Salah Mohammed wakisaini hati ya makubaliano ya kuwawezesha wafanyabiashara ambao wanaagiza bidhaa kutoka nje ya nchi kupitia Kampuni hiyo waweze kukidhi mahitaji ya soko na wakati huo huo kuepuka gharama za ziada zinazotokana na mzigo kukaa muda mrefu bandarini, ambapo wafanyabiashara hao watawezeshwa mkopo wa riba nafuu kwa kipindi cha kuanzia mwezi mmoja hadi miezi sita, katika hafla iliyofanyika leo Machi 21, 2023 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam. Wengine pichani ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Benki ya CRDB, Pascal Mihayo (kushoto) pamoja na Mkuu wa Kitengo. Mauzo wa Silent Ocean, Godfrey Mbowe.
Kaimu Mkurugenzi wa Wateja wadogo na wakati wa Benki ya CRDB, Bonaventure Paul (kushoto) akibadilishana hati na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Usafirishaji Mizigo ya Silent Ocean, Salah Mohammed, muda mfupi baada ya kuzisaini ikiwa ni makualiano ya kuwawezesha wafanyabiashara ambao wanaagiza bidhaa kutoka nje ya nchi kupitia Kampuni ya Silent Ocean ili waweze kukidhi mahitaji ya soko na wakati huo huo kuepuka gharama za ziada zinazotokana na mzigo kukaa muda mrefu bandarini, ambapo wafanyabiashara hao watawezeshwa mkopo wa riba nafuu kwa kipindi cha kuanzia mwezi mmoja hadi miezi sita, katika hafla iliyofanyika leo Machi 21, 2023 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa Wateja wadogo na wakati wa Benki ya CRDB, Bonaventure Paul akizungumza katika hafla ya kuingia makualiano ya kuwawezesha wafanyabiashara ambao wanaagiza bidhaa kutoka nje ya nchi kupitia Kampuni ya Silent Ocean ili waweze kukidhi mahitaji ya soko na wakati huo huo kuepuka gharama za ziada zinazotokana na mzigo kukaa muda mrefu bandarini, ambapo wafanyabiashara hao watawezeshwa mkopo wa riba nafuu kwa kipindi cha kuanzia mwezi mmoja hadi miezi sita, katika hafla iliyofanyika leo Machi 21, 2023 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya CRDB, Toyi Ruvumbagu akizungumza katika hafla ya kuingia makualiano ya kuwawezesha wafanyabiashara ambao wanaagiza bidhaa kutoka nje ya nchi kupitia Kampuni ya Silent Ocean ili waweze kukidhi mahitaji ya soko na wakati huo huo kuepuka gharama za ziada zinazotokana na mzigo kukaa muda mrefu bandarini, ambapo wafanyabiashara hao watawezeshwa mkopo wa riba nafuu kwa kipindi cha kuanzia mwezi mmoja hadi miezi sita, katika hafla iliyofanyika leo Machi 21, 2023 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam.

Mkuu wa Kitengo cha Mikopo wa Benki ya CRDB, Mussa Lwila akizungumza katika hafla ya kuingia makualiano ya kuwawezesha wafanyabiashara ambao wanaagiza bidhaa kutoka nje ya nchi kupitia Kampuni ya Silent Ocean ili waweze kukidhi mahitaji ya soko na wakati huo huo kuepuka gharama za ziada zinazotokana na mzigo kukaa muda mrefu bandarini, ambapo wafanyabiashara hao watawezeshwa mkopo wa riba nafuu kwa kipindi cha kuanzia mwezi mmoja hadi miezi sita, katika hafla iliyofanyika leo Machi 21, 2023 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam.
Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Mashariki, Badru Idd akizungumza katika hafla ya kuingia makualiano ya kuwawezesha wafanyabiashara ambao wanaagiza bidhaa kutoka nje ya nchi kupitia Kampuni ya Silent Ocean ili waweze kukidhi mahitaji ya soko na wakati huo huo kuepuka gharama za ziada zinazotokana na mzigo kukaa muda mrefu bandarini, ambapo wafanyabiashara hao watawezeshwa mkopo wa riba nafuu kwa kipindi cha kuanzia mwezi mmoja hadi miezi sita, katika hafla iliyofanyika leo Machi 21, 2023 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam.
Sehemu ya Wafanyabiashara na wageni waliohudhulia hafla hiyo wakiendelea kufuatilia tukio hilo.







Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments