TEMBO AMTOA UTUMBO JAMAA ALIYETAKA KUPIGA NAO PICHA WAKILA MAHINDI 'Selfie'


Mkazi wa Kijiji cha Kiperesa wilayani Kiteto mkoani Manyara, Issa Shabani (32) amenusurika kifo na kulazwa hospitali ya Wilaya ya Kiteto baada ya kupigwa na tembo walioonekana wakirandaranda kijijini kwao.


Tembo hao wakionekana karibu na makazi yao wakila mahindi kisha watu kuwasogelea kutaka kupiga nao picha.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara, RPC George Katabazi ameeleza kuwa Machi 12, 2023 tembo watatu walionekana Kijiji cha Kiperesa mchana wakiandaranda kwenye mashamba ya watu yaliyopo karibu na makazi yao.

ENDELEA KUSOMA HABARI HII <<HAPA>

Chanzo - Mwananchi

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post