CHARLES HILARY ATEULIWA KUWA MSEMAJI WA SERIKALI YA ZANZIBARRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Charles Hilary kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali. Charles Hilary ni Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano - Ikulu, Zanzibar.

Charles Hilary

Ikumbukwe Charles Hilary ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari wa siku nyingi nchini Tanzania.


Cheo hicho hakikuwahi kuwepo ndani ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar tangu utawala wa Rais wa Awamu ya Tano, Dk Salmin Amour

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post