TETEMEKO LA ARDHI UTURUKI, SYRIA VIFO VYAFIKIA 26,000

 

Wakati zoezi la uokoaji likiingia siku ya 7, idadi ya vifo inazidi kuongezeka. Kwa upande wa Syria kuna vifo 3,575 na Uturuki pekee kuna vifo 24,617.

Madhara mengine ni zaidi ya watu Milioni 13.5 wameathirika Nchini Uturuki huku wengine Milioni 5.3 wakipoteza makazi Nchini Syria na kiujumla zaidi ya watu 90,000 wamejeruhiwa.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments