TGNP YAENDESHA JUKWAA LA WANAUME KUTOKOMEZA UKATILI WA KIJINSIA


Mwezeshaji wa warsha ya Jukwaa la Wanaume Robert Mongi akiwasilisha mada kwa baadhi ya Wanaume waliofika kwenye warsha ya kijadili namna gani ya kukabiliana na changamoto za ukatili wa kijinsia ikiwa ni kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake iliyoanza tarehe 25 Novemba na kumalizika tarehe 10 Desemba 2022 Warsha hii imeratibiwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP).
***

Katika kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) umewakatanisha wanaume kwenye Jukwaa la Wanaume ili kijadili changamoto pamoja na namna ya kutatua changamoto za kupinga ukatili wa kijinsia.


Kampeni hii hufanyika kuanzia tarehe 25 Novemba na kumalizika tarehe 10 Desemba ya kila mwaka kwa ajili ya kupinga ukatili na kutetea haki za wanawake.

Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili mwaka huu inaadhimishwa kwa kaulimbiu isemayo “Kila Uhai Una Thamani: Tokomeza Mauaji na Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto”


Katika kupambana na tatizo la Mauaji na Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto, jamii yote tunatakiwa kuunganisha nguvu kwenye kubuni mikakati ya kijamii ambayo italeta tija na suluhisho la kudumu. Kwenye maeneo mengi ya nchi kuongezeka kwa uelewa juu ya masuala ya ukatili na madhara yake ni kutokana na utekelezaji wa mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili wa Mwaka 2017/18-2021/22 (MTAKUWWA)
Mwezeshaji wa warsha ya Jukwaa la Wanaume Robert Mongi akiwasilisha mada kwa baadhi ya Wanaume waliofika kwenye warsha ya kijadili namna gani ya kukabiliana na changamoto za ukatili wa kijinsia ikiwa ni kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake iliyoanza tarehe 25 Novemba na kumalizika tarehe 10 Desemba 2022 Warsha hii imeratibiwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP)

Dkt. Katanta Lazarus Simwanza kutoka Engender Health akichangia mada kuhusu namna ya kukabiliana na masuala ya ukatili wa kijinsia hasa kwa mtoto wa kike na namna ya kuweza kuketa suluhu kwa usawa wa kijinsia wakati wa warsha ya Jukwaa la Wanaume lililoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwenye kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake iliyoanza tarehe 25 Novemba na kumalizika tarehe 10 Desemba 2022.
Bw. Severine Allure kutoka Tonehai akichangia mada kuhusu namna vijana wanavyofanyiwa ukatili wa kijinsia hasa wanapokuwa shuleni na namna ya kuzimaliza changamoto hizo kwenye jamii wakati wa warsha ya Jukwaa la Wanaume la kijadili suala la ukatili wa kijinsia wakati wa kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake iliyoanza tarehe 25 Novemba na kumalizika tarehe 10 Desemba 2022.
Baadhi ya Wanaume waliofika kwenye warsha ya Jukwaa la Wanaume wakichangia mada mbalimbali pamoja na kutoa ushuhuda kuhusu ukatili wa kijinsia wanaofanyiwa wanawake hasa watoto wa kike na vijana wakati wa warsha ya Jukwaa la Wanaume la kijadili suala la ukatili wa kijinsia wakati wa kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake iliyoanza tarehe 25 Novemba na kumalizika tarehe 10 Desemba 2022.
Baadhi ya Wanaume waliofika kwenye warsha ya Jukwaa la Wanaume wakifuatilia mada mbalimbali kuhusu ukatili wa kijinsia wakati wa warsha ya Jukwaa la Wanaume la kijadili suala la ukatili wa kijinsia wakati wa kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake iliyoanza tarehe 25 Novemba na kumalizika tarehe 10 Desemba 2022.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post