Fuatilia matukio yanayoendelea katika Kikao cha nne cha Mkutano wa Kwanza wa Kawaida wa Bunge la Sita la Afrika (Pan African Parliament - PAP) Alhamisi Novemba 3,2022 ambapo mjadala unaoendelea ni Kuhusu Mabadiliko ya Kanuni za Bunge la Afrika.
Discussion on amendment of PAP rules of procedure
👇👇
Tazama Matukio katika Picha - Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni na Sheria za Bunge la Afrika (PAP) akiwasilisha taarifa kuhusu Mabadiliko ya Kanuni za Bunge la Afrika leo
Post a Comment