Tazama Picha : UCHAGUZI WA MWENYEKITI CCM WILAYA YA SHINYANGA MJINI....FUATILIA MATOKEO HAPA


Wagombea watatu wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini wakiwa katika ukumbi wa CCM Mkoa wa Shinyanga kwenye Mkutano Maalumu wa Uchaguzi wa Nafasi ya Uenyekiti wilaya unaofanyika leo Jumamosi Oktoba 1,2022. Kushoto ni Mokhe Warioba Nassor, Pendo John Sawa (katikati) na Magile Anold Makombe (kulia).
Makada hao wa CCM wanachuana vikali kuchukua nafasi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Shinyanga Mjini, Abubakar GulamHafiz Mukadam.

PICHA ZOTE NA MARCO MADUHU

Endelea Kufuatilia Malunde.com au Pakua App yetu <<HAPA>> tukutumie matokeo moja kwa moja kwenye simu yako mara tu yakitangazwa.
Wajumbe wa Mkutano Maalumu wa Uchaguzi wa Nafasi ya Uenyekiti wilaya Shinyanga Mjini wakiendelea kupiga kuraWajumbe wa Mkutano Maalumu wa Uchaguzi wa Nafasi ya Uenyekiti wilaya Shinyanga Mjini wakiendelea kupiga kura
Wajumbe wa Mkutano Maalumu wa Uchaguzi wa Nafasi ya Uenyekiti wilaya Shinyanga Mjini wakiendelea kupiga kuraPICHA ZOTE NA MARCO MADUHU

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post