Picha : SHAMRA SHAMRA KATAMBI AKIHAMASISHA SENSA JIMBO LA SHINYANGA MJINI

Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu akiwa amebeba picha ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akiwasili katika Ofisi za CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini leo Jumatatu Agosti 22,2022 kwa ajili kuwapongeza Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Jumuiya zake Ngazi ya Kata waliochaguliwa kwenye uchaguzi wa chama hicho sambamba za kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi litakalofanyika Agosti 23,2022. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Na Marco Maduhu, SHINYANGA

MBUNGE wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobasi Katambi, amewasisitiza wananchi wa Shinyanga, wajitokeze kwa wingi siku ya kesho kuhesabiwa Sensa ya watu na Makazi.

Kesho Agosti 23, 2022 ni siku ya kuhesabiwa Sensa ya watu na Makazi hapa nchini, ambapo wananchi watahesabiwa na Serikali kupata idadi ya watu wake kamili kwa kila eneo.

Katambi ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu, amebainisha hayo leo Agosti 22, 2022 wakati wa kikao chake na viongozi wapya wa Chama Cha Mapinduzi ngazi ya Kata na Jumuiya zake, ambao walichaguliwa kwenye uchaguzi wa ndani wa Chama hicho.

Amesema zoezi la kuhesabiwa Sensa ni muhimu sana kwa Maendeleo ya nchi, ambapo Serikali ikiwa na idadi kamili ya watu wake, itasaidia katika Mipango yake ya kuwatekelezea mahitaji yao kulingana na idadi yao.

"Sensa ni Maji, Elimu, Barabara, Umeme,Vituo vya Afya na mambo mengi tu ya maendeleo, hivyo nawasihi wananchi wa Shinyanga mjitokeze kwa wingi kuhesabiwa kesho Sensa ya watu na Makazi ni faida yetu kwa maendeleo," amesema Katambi.

Aidha, amewataka viongozi hao wakahamasishe wananchi washiriki kikamilifu kuhesabiwa Sensa.

Katika hatua nyingine Katambi, amewataka viongozi washikamane, kupendana, na kuacha majungu na kuchongeana hovyo kwa kufanya siasa za fitina ambazo zinakwamisha maendeleo.

Naye Katibu wa Chama Cha Mapinduzi CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Ally Shabani Ally, amewasihi wananchi wajitokeze kuhesabiwa ili zoezi hilo lifanikiwe kwa asilimia 100.
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu akiwa amebeba picha ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu akiwapongeza Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Jumuiya zake Ngazi ya Kata waliochaguliwa kwenye uchaguzi wa chama hicho pamoja na kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi litakalofanyika Agosti 23,2022.

Makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiwa na vipeperushi vya kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi

Katibu wa CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Ally Sahaban wakati Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu akiwapongeza Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Jumuiya zake Ngazi ya Kata waliochaguliwa kwenye uchaguzi wa chama hicho pamoja na kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi litakalofanyika Agosti 23,2022.

Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu akiwapongeza Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Jumuiya zake Ngazi ya Kata waliochaguliwa kwenye uchaguzi wa chama hicho pamoja na kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi litakalofanyika Agosti 23,2022.

Picha na Kadama Malunde  - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post