Ofisa Uhamiaji wa mkoa wa Shinyanga, Rashid Salum Magetta amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando Jijini Mwanza.
Mmoja wa maafisa wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Shinyanga amesema Afande Rashid Salum Magetta amefariki dunia leo asubuhi Ijumaa Agosti 26,2022 wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Bugando Mkoani Mwanza.
R.I.P Afande Rashid Salum Magetta.