Tazama Picha : SHEREHE YA 'SHY TOWN VIP PARTY ' MJINI SHINYANGA...MAKINDA ASEMA 'HILI NI JESHI KUBWA'

Sherehe za Kundi la Whatsapp maarufu SHY TOWN VIP la Mjini Shinyanga ambazo hufanyika kila mwaka zimefanyika usiku Jumamosi Julai 2,2022 katika ukumbi wa Level One Mjini Shinyanga na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wakiongozwa Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Bara Mhe. Anne Makinda ambaye ni Spika wa Bunge Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sherehe hizo maarufu SHY TOWN VIP Party mwaka 2022 zinazofanyika katika ukumbi wa Level One Mjini Shinyanga zinaenda sanjari na Uhamasishaji wa wananchi kushiriki kikamilifu katika Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti 23,2022.

Soma Habari yote <Hapa> 

MAKINDA AKUBALI MUZIKI WA 'SHY TOWN VIP' DEBE LA SENSA... RC MJEMA ATANGAZA KUVUNJA REKODI

Tazama Matukio katika picha hapa chini

Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Bara Mhe. Anne Makinda akihamasisha wananchi kushiriki Sensa ya watu na makazi Agosti 23,2022 kwenye sherehe za Kundi la Whatsapp maarufu SHY TOWN VIP la Mjini Shinyanga zilizofanyika katika ukumbi wa Level One Mjini Shinyanga

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema akizungumza kwenye sherehe za Kundi la Whatsapp maarufu SHY TOWN VIP la Mjini Shinyanga zilizofanyika katika ukumbi wa Level One Mjini Shinyanga

Mtakwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Pastory Ulimali akitoa elimu kuhusu Sensa ya watu na makazi Agosti 23,2022 kwenye sherehe za Kundi la Whatsapp maarufu SHY TOWN VIP la Mjini Shinyanga zilizofanyika katika ukumbi wa Level One Mjini Shinyanga

Mwenyekiti wa SHY TOWN VIP, Mussa Ngangala akizungumza kwenye sherehe za Kundi la Whatsapp maarufu SHY TOWN VIP la Mjini Shinyanga zilizofanyika katika ukumbi wa Level One Mjini Shinyanga
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Bara Mhe. Anne Makinda ( wa pili kushoto) akicheza muziki na viongozi mbalimbali pamoja na wanachama wa Shy Town VIP
Wanachama wa Shy Town VIP wakicheza muziki
MC ICE akizungumza kwenye sherehe za Kundi la Whatsapp maarufu SHY TOWN VIP la Mjini Shinyanga zilizofanyika katika ukumbi wa Level One Mjini Shinyanga. Kushoto ni MC Zezema
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mabala Mlolwa akizungumza kwenye sherehe za Kundi la Whatsapp maarufu SHY TOWN VIP la Mjini Shinyanga zilizofanyika katika ukumbi wa Level One Mjini Shinyanga
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Mkude akizungumza kwenye sherehe za Kundi la Whatsapp maarufu SHY TOWN VIP la Mjini Shinyanga zilizofanyika katika ukumbi wa Level One Mjini Shinyanga

PICHA ZOTE NA KADAMA MALUNDE - MALUNDE 1 BLOG

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post