PROF. JAY ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI YA MUHIMBILI BAADA YA KUPATIWA MATIBABU SIKU 127


Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili umethibitisha kuwa Mwanamuziki Joseph Haule (Prof. Jay) aliruhusiwa kurejea nyumbani Juni 9, 2022 baada ya kupatiwa matibabu kwa siku 127 na afya yake kuimarika.

Muhimbili wamethibitisha hayo kupitia mitandao yao ya kijamii ambapo taarifa hiyo imeandika " Msanii Joseph Haule (Prof. J) jana ameruhusiwa kwenda nyumbani baada ya kupatiwa matibabu kwa siku 127 na afya yake kuimarika"

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments