MWENYEKITI WA CCM RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA (CCM) JIJINI DODOMA.


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana leo tarehe 22 Mei 2022 Ikulu ya Chawino Jijini Dodoma.(PICHA NA CCM MAKAO MAKUU)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post