Video Mpya : BBY NAI - NIMEOLEWA...NI YULE MREMBO ALIYETEMBEA MTAANI NA BANGO LA 'NATAFUTA MME'


Msanii Baby Nai anakualika kutazama video ya wimbo wake mpya unaitwa 'Nimeolewa'

Septemba 2022 Mrembo Bby Nai kutoka Buza Temeke alizua gumzo baada ya kutembea mtaani na Bango la 'Natafuta Mume' ambapo alisisitiza kuwa haoni shida ya kutembea na bango hilo kwa sababu havunji sheria za nchi.

Tazama Video ya Bby Nai - Nimeolewa

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments