Breaking : SERIKALI YATANGAZA KUSHUSHA BEI YA MAFUTA... TAZAMA PUNGUZO HAPA


Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya Petroli nchini . Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia kesho Jumatano Juni 1, 2022

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments