MCHUNGAJI HANANJA : BINADAMU WOTE WANATUMIA AKILI YA MWANAMKE

Picha ya Mchungaji Richard Hananja

Mchungaji Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Mashariki na Pwani Dar es Salaam, Richard Hananja anasema Mwanamke ndio mwalimu mkubwa duniani na hakuna binaadam mwenye akili ya mwanaume kwa sababu saikolojia ya binaadam imepandikizwa na Mwanamke.


Akizungumza na Mama Mia ya East Africa Radio Mchungaji Mstaafu amesema "Hakuna binadamu mwenye akili ya mwanaume kamwe, wanaadam wote wana akili ya mwanamke tumepandikizwa na mwanamke kwenye saikoloji kuanzia msingi wa sifuri mpaka 7".

 Chanzo - EATV

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments