Picha : MWILI WA MBUNGE IRENE NDYAMKAMA WAAGWA BUNGENI DODOMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Aprili 27, 2022 amewaongoza waombolezaji kupokea mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamkama kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma. Mheshimiwa Spika Dkt. Tulia Ackson (wa pili kulia) pia alishiriki katika mapokezi ya mwili wa Mbunge huyo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Aprili 27, 2022 amewaongoza waombolezaji kupokea mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamkama kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma. 
Katibu wa Bunge, Mhe. Nenelwa Mwihambi,akishiriki zoezi la kuuga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Mhe. Irene Alex Ndyamkama leo Aprili 27, 2022 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akisaini kitabu cha maombolezo cha aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Mhe. Irene Alex Ndyamkama leo Aprili 27, 2022 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo cha aliyekuwa Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Rukwa, Mh. Irene Alex Ndyamukama, Katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, leo tarehe 27 Aprili 2022.
Waheshimiwa Wabunge wakisaini kitabu cha maombolezo cha aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Mhe. Irene Alex Ndyamkama leo Aprili 27, 2022 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Waziri mkuu Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson wamewaongoza waombolezaji kupokea mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Rukwa, Mh. Irene Alex Ndwamkama, Katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma, leo tarehe 27 Aprili 2022
MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Irene Ndyamukama, uliwasili Bungeni jijini Dodoma kwa ajili ya kuagwa na bunge.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments