AMUUA MKE WAKE KISHA KUMZIKA SHAMBANI


Kaimu kamanda wa Jeshi la Polisi Mtwara ACP Nicodemus Katembo
***

Jeshi la polisi Mkoani Mtwara, linamshikilia Shaibu Kuselela 58, mkazi wa kijiji cha Lipalwe Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara, kwa tuhuma za kumuua mkewe kisha kumzika shambani.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani humo, ACP Nicodemus Katembo amesema ni mara ya pili kwa mtuhumiwa kutenda kosa la mauaji.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments