Breaking

Post Top Ad

Friday, March 25, 2022

Picha : WAFANYAKAZI RAFIKI SDO SHINYANGA, GEITA NA MARA WAFANYA KIKAO KAZI...MSUKA ATAKA UADILIFU TAKWIMU ZA VVU NA UKIMWI

Wafanyakazi wa Shirika la RAFIKI SDO na Wafanyakazi wa Kujitolea (Volunteers) wa Mradi wa EPIC wakipiga picha ya kumbukumbu.

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Wafanyakazi wa Shirika la RAFIKI SDO na Wafanyakazi wa Kujitolea (Volunteers) wa Mradi wa EPIC unaolenga Kupunguza Maambukizi Mapya ya Virusi vya UKIMWI kwa makundi maalumu  wamekutana katika Kikao kazi kwa ajili ya kujadili utendaji kazi wa kila mmoja, changamoto wanazopitia pamoja na kuboresha utendaji kazi wao.

Kikao kazi hicho kimefanyika leo Ijumaa Machi 25,2022 katika ukumbi wa Shy Park Hotel Mjini Shinyanga na kuhudhuriwa na wafanyakazi wa RAFIKI SDO kutoka halmashauri za Shinyanga na Manispaa ya Shinyanga pamoja na mkoa wa Geita na Mara.

Akifungua Kikao hicho kwa niaba ya Mkurugenzi wa Shirika la RAFIKI SDO, Gelard Ng’ong’a, Afisa Tathmini na Ufuatiliaji Mradi wa EPIC kutoka shirika la Rafiki SDO Bi. Maria Maduhu amesema kikao hicho kitasaidia kuboresha utendaji kazi wa wafanyakazi wa kujitolea na wafanyakazi waajiriwa wa RAFIKI SDO ili kupunguza Maambukizi Mapya ya VVU kwa makundi maalumu.

Amesema Mradi wa EPIC unatekeleza afua za utoaji wa huduma zinazohusiana na VVU zikiwalenga makundi maalumu na yanayohitaji kupewa kipaumbele ikiwemo wasichana wa rika balehe na wamama vijana, wanaume na wanawake walio katika hatari ya kupata maambukizi ya VVU.

Meneja wa Mradi wa EPIC Mkoa wa Shinyanga Dkt. Shinje Msuka amesema wanawathamini sana wafanyakazi hao kwa kujitolea kwa kazi nzuri wanazofanya huku akiwasisitiza kufanya kazi kwa uadilifu kwa kutoa taarifa na takwimu ambazo ni sahihi kuhusu masuala ya VVU na UKIMWI.

Dkt. Msuka amesema Mradi wa EPIC unaofadhiliwa na USAID na PEPFAR unatekeleza mpango wa DREAMS katika halmashauri 6 za mkoa wa Shinyanga tangu mwezi Februari 2020 kupitia mashirika manne ya kijamii ambayo ni Rafiki SDO, TADEPA, HUHESO Foundation na SHIDEPHA.

Amesema Mpango wa DREAMS ni kati ya afua zinazotekelezwa na mradi wa EPIC wenye lengo la kupunguza maambukizi ya VVU kwa wasichana balehe na wanawake vijana wenye umri wa miaka 9 hadi 24, wanaoishi katika mazingira hatarishi na wanafanya ngono katika umri mdogo ili waweze kumudu gharama za maisha.

ANGALIA PICHA HAPA CHINI
Afisa Tathmini na Ufuatiliaji Mradi wa EPIC kutoka shirika la Rafiki SDO Bi. Maria Maduhu akifungua Kikao kazi cha Wafanyakazi wa Shirika la RAFIKI SDO na Wafanyakazi wa Kujitolea (Volunteers) wa Mradi wa EPIC unaolenga Kupunguza Maambukizi Mapya ya Virusi vya UKIMWI kwa makundi maalumu leo Ijumaa Machi 25,2022 katika Ukumbi wa Shy Park Hotel Mjini Shinyanga
Meneja wa Shirika la RAFIKI SDO, Ahsante Nselu akizungumza kwenye Kikao kazi cha Wafanyakazi wa Shirika la RAFIKI SDO na Wafanyakazi wa Kujitolea (Volunteers) wa Mradi wa EPIC unaolenga Kupunguza Maambukizi Mapya ya Virusi vya UKIMWI kwa makundi maalumu leo Ijumaa Machi 25,2022.
Meneja wa Mradi wa EPIC Mkoa wa Shinyanga Dkt. Shinje Msuka akizungumza kwenye Kikao kazi cha Wafanyakazi wa Shirika la RAFIKI SDO na Wafanyakazi wa Kujitolea (Volunteers) wa Mradi wa EPIC unaolenga Kupunguza Maambukizi Mapya ya Virusi vya UKIMWI kwa makundi maalumu leo Ijumaa Machi 25,2022.

Msimamizi wa Mradi wa ARCHIEVE Shirika la RAFIKI SDO, Charles Ally akizungumza kwenye Kikao kazi cha Wafanyakazi wa Shirika la RAFIKI SDO na Wafanyakazi wa Kujitolea (Volunteers) wa Mradi wa EPIC unaolenga Kupunguza Maambukizi Mapya ya Virusi vya UKIMWI kwa makundi maalumu leo Ijumaa Machi 25,2022.
Afisa Uchumi Mwezeshaji Shirika la RAFIKI SDO, Leonard Masele akizungumza kwenye Kikao kazi cha Wafanyakazi wa Shirika la RAFIKI SDO na Wafanyakazi wa Kujitolea (Volunteers) wa Mradi wa EPIC unaolenga Kupunguza Maambukizi Mapya ya Virusi vya UKIMWI kwa makundi maalumu leo Ijumaa Machi 25,2022.
Afisa Uhusishwaji Jamii kutoka RAFIKI SDO Tangi Clement akizungumza kwenye Kikao kazi cha Wafanyakazi wa Shirika la RAFIKI SDO na Wafanyakazi wa Kujitolea (Volunteers) wa Mradi wa EPIC unaolenga Kupunguza Maambukizi Mapya ya Virusi vya UKIMWI kwa makundi maalumu leo Ijumaa Machi 25,2022.

Afisa Uchumi wa Shirika la RAFIKI SDO, Winfrida Mushi akizungumza kwenye kikao hicho
Afisa Mabinti mradi wa EPIC RAFIKI SDO, Maria Kamage akizungumza katika kikao hicho
Kikao kazi cha Wafanyakazi wa Shirika la RAFIKI SDO na Wafanyakazi wa Kujitolea (Volunteers) wa Mradi wa EPIC kikiendelea

Wafanyakazi wa Shirika la RAFIKI SDO na Wafanyakazi wa Kujitolea (Volunteers) wa Mradi wa EPIC wakipiga picha ya kumbukumbu
Wafanyakazi wa Shirika la RAFIKI SDO na Wafanyakazi wa Kujitolea (Volunteers) wa Mradi wa EPIC wakipiga picha ya kumbukumbu.

Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Soma pia:

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages