WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAANZA UTEKELEZAJI WA MKAKATI WA KUENDELEZA MAENEO YA FUKWE KWA AJILI YA SHUGHULI ZA UTALII

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utalii, Philip Chitaunga akifungua mkutano wa wadau wanaomiliki maeneo ya Fukwe nchini uliolenga kujadili namna mbalimbali ya kuendeleza maneo yao kiutalii uliofanyika katika Ofisi ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanazania (TFS) zilizopo jijini Dar es Saam. Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Utalii, Richie Wandwi (katikati) akieleza umuhimu wa kuendeleza maeneo ya Fukwe kwa ajili ya utalii wakati wa Mkutano wa Wadau wanaomiliki maeneo hayo uliofanyika katika Ofisi za Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Wadau wanaomiliki maeneo ya Fukwe wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Utalii, Philip Chitaunga kwenye Mkutano wa Wadau wanaomiliki maeneo ya Fukwe uliofanyika leo Jijini Dar es salaam.

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utalii, Philip Chitaunga (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wadau mbalimbali wanaomiliki maeneo ya Fukwe mara baada ya Mkutano wa kujadili namna ya kuendeleza maeneo yao ya Fukwe uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.

**************************

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utalii, Philip Chitaunga (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wadau mbalimbali wanaomiliki maeneo ya Fukwe mara baada ya Mkutano wa kujadili namna ya kuendeleza maeneo yao ya Fukwe uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments