Picha : RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MTAWALA WA DUBAIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE na Mtawala wa Dubai Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum mara baada ya kuhutubia katika Maonesho ya Dubai Expo 2020 yanayoendelea katika Mji wa Dubai leo tarehe 26 Februari, 2022. PICHA IKULU

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post