PASTA ASEMA KAMERA ZA KANISA LAKE ZIMEMNASA MALAIKA 'LIVE'


Pastor Ekuma Uche Philips wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo amedai kuwa malaika amenaswa na camera za kanisani kama ambavyo anathibitisha.

"Malaika amenaswa kwenye Camera katika Ibada ya usiku, Ijumaa tarehe 31 Desemba, Saa 12:13 asubuhi. Sijawahi ona kitu kama hiki tangu nizaliwe.

Tuko katika siku za miujiza mkubwa, Huyu ni Mungu.

Asante Yesu kwa kututembelea na muujiza mkuu katika Injili ya Msingi wa Imani Porto Novo, Jamhuri ya Benin”

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post