WANUFAIKA KWA PROGRAMU YA MAENDELEO YA BIASHARA ZA NDANI WATEMBELEA MGODI WA BARRICK NORTH MARA - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Wednesday, December 15, 2021

WANUFAIKA KWA PROGRAMU YA MAENDELEO YA BIASHARA ZA NDANI WATEMBELEA MGODI WA BARRICK NORTH MARA


 Afisa mazingira  Mwandamizi wa Mgodi wa Barrick North Mara Alex Mayengo, akifafanua jambo kwa wanufaika wa Program ya maendeleo ya biashara za ndani walipotembelea mgodi huo mkoani Mara hivi karibuni. Programu hiyo inatekelezwa na kampuni ya Kengo Limited ili kuziwezesha kampuni za ndani kunufaika na fursa zilizopo kwenye sekta ya madini.

Meneja Uhusiano kwa Jamii wa Mgodi wa Barrick North Mara Gilbert Mworia, akiwaeleza mambo mbalimbali wanufaika wa Program ya Maendeleo ya Biashara za Ndani walipotembelea mgodi huo mkoani Mara hivi karibuni. Programu hiyo inatekelezwa na kampuni ya Kengo Limited ili kuziwezesha kampuni za ndani kunufaika na fursa zilizopo kwenye sekta ya madini.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages