SHILOLE APATA AJALI YA GARI - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Thursday, December 16, 2021

SHILOLE APATA AJALI YA GARI


Picha ya msanii Shilole na gari alilopata nalo ajali
**
Msanii na mfanyabiashara Zuwena Mohammed 'Shilole' ameshea taarifa ya kupata ajali ya gari kwenye page yake ya Instagram akiwa maeneo ya Chalinze mkoani Pwani.

Katika video Shilole ameshukuru mungu kwa kuandika "Mungu ni mwaminfu siku zote, Asante tumetoka salama"

Baada ya taarifa hiyo mastaa mbalimbali nchini na mashabiki wake wamempa pole Shilole kwa tukio hilo la kupata ajali.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages