Video : NTEMI OMABALA - KISIMA

Msanii Maarufu wa Nyimbo za asili Ntemi Omabala  kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kutazama video yake mpya ya wimbo 'Kisima' unaohusu Harusi ya Msanii Maarufu wa Nyimbo za Asili Nyanda Majabala ' Kisima' kutoka Bariadi mkoani Simiyu.
Tazama Hapa 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments