Post Top Ad
Wednesday, January 12, 2022
KOM PRE & PRIMARY SCHOOL INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO
KOM Pre & Primary School iliyopo Butengwa mkabala na Barabara ya Old Shinyanga Mjini Shinyanga inawatangazia nafasi za masomo.
Tunapokea watoto wenye umri kuanzia miaka mitatu na kuendelea.
Mlete mwanao apate msingi wa elimu bora katika mazingira yaliyo salama kwa gharama nafuu.
Usafiri ni wa uhakika.
Shule ni ya kutwa na bweni.
Tuna nafasi za bweni kwa wanafunzi kuanzia darasa la nne hadi la saba.
Mawasiliano 0767483046 au
0767618213
Email : komschools@komclass.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Malunde 1 blog ni blog ya Kiswahili maarufu duniani kwa habari za Matukio, Siasa, Magazeti, Nyimbo za asili na habari za kusisimua.
No comments:
Post a Comment