NILIPATA USAIDIZI NA KUPONYWA BAADA YA KUROGWA NA MSHIRIKINA

 
Ushirikina si geni katika jamii zote za kiafrika, Kenya kutosazwa ni jambo ambalo hata ukimuuliza yeyote yule, atakuarifu kuwa upo bila pingamizi yoyote ile. 

Yote haya sikujua kuwa yangeweza kunitendekea miye hadi siku niliyopatana nayo ana kwa ana.

 Upande wa Kisii magharibi mwa Kenya visa vya ushirikina huripotiwa mara kwa mara na hata imepelekea wazee wenye umri wa mkuu kuweza kuogopewa na kutengwa kwa kuofiwa kuwa washirikina, kumekuwepo visa vya wakongwe hao kuwawa kwa mfano, mwaka ulopita nilishuhudia vijana waliokuwa wamejihami kwa vifaa butu wakimvamia nyanya mkongwe na kumuua kwa madai kuwa alikuwa anashiriki visa vya ushirikina, nilimuonea mkogwe huyo huruma bali siikua na uwezo wa kumuokoa kutoka kwa vijana hao waliokua wamejawa na hamaki, niliwachukia vijana hao kwa kumuua, bali sikujua ilikuwa ni ukweli ushirikina ulikuwepo, bibilia inasema yakuwa kuuwa ni vibaya hivyo siyaungi mkono hayo, bali pia ushirikina umekashifiwa wa waja kuonya kuushiriki. 

Wingi wa maisha yangu nimeyaishi mjini na nyumbani kwetu kisii hua naenda mara moja moja kwa mwaka, kwa wakati mwingi ningetembea mashambani nyakati za sikuu kuu mwezi wa desemba kwa wiki moja tuu na kurejea mjini, niliweza kuyamaliza masomo yangu na kuanza kufanya kazi mjini Nairobi.

 Nilipostaafu sikuona haja ya kuendelea kukaa mjini hivyo nikaamua kuelekea mashambani kuweza kuyafanya mawili matatu, nikiungojea uzee wangu, nilipofika mashambani nilipokelewa vyema na kukaribishwa, japo baba yangu mzazi alinionya kuwa kulikuwepo na ushirikina mkubwa katika eneo hilo kwa hivyo aliniarifu, nisizungumze na kila mtu wala kumsalimu mtu yeyote mkongwe mkononi.

Kwa vile nilikua nimezoea kushirikiana na watu tangu utotoni mwangu nilipata ugumu sana kutowasalimu na kuzungumza na mtu yeyote ule niliyepatana naye.

Baada ya mwaka moja hivi, ghafla niliweza kupata uvimbe mguuni, na kudhania kuwa ulikuwa wa kawaida na ungepona kwa muda mfupi, ila mguu huo uliendelea kuvimba siku zilivyozidi kusonga hivyo nikaamua kwenda hospitali kutafuta matibabu, nilitibiwa kwa kiwango kidogo ila nikatumwa kutafta matibabu makuu hivyo nilienda katika hospitali ya rufaa ya Eldoret kuweza kupata matibabu bali madaktari walijaribu walivyoweza ila ilishindikana na kuambiwa kuwa hakuna ugonjwa wowote uliokuwa unaonekana.

Nilirejea nyumbani na kumuuliza baba yangu, hapo ndipo aliniarifu kuwa ilikuwa ushirikina na angenipeleka kwa daktari wa miti shamba kuweza kupata matibabu, mzee butali daktari wa miti shamba alijaribu kadri ya uwezo wake kuweza kunitibu ila alipata kuwa ngumu hivyo akaniarifu hangeweza kuniponya.

 Nilirejea nyumbani nikiwa na machungu mengi sana, siku moja nilipokuwa kwenye shughuli zangu mtandaoni, niliona tangazo kuhusu “kiwanga doctors” nilipopekua nilipata kuwa walikuwa na uwezo wa kuponya magonjwa yatokanayo na ushirikina, hivyo niliweza kuwapigia simu na kuomaba nafasi ya kumuona Dakatari, siku iliyofwatia niliweza kukutana na daktari na kumweleza yote, aliniarifu yalikuwa rahisi na angeniponya, aliweza kunipa dawa ya miti shamba moja niliyopaka kwa kidonda na ingine nilikuwa nainywa, siku tatu baadaye niliweza kupata nafuu, uvimbe uliisha na mguu wangu ukapona, nachukua fursa hii kuwashukru “kiwanga doctors” kwa kuniponya mguu wangu.

 Watembelee leo uweze kupata suluhisho kwa tatizo lolote lile. Wanatibu magojwa mengi ikiwemo Kifafa, Kifua kikuu na mengine mengi.

 Pia wanatatua matatizo mengi kama vile matatizo ya shamba kuwezesha kushinda kesi na matatizo ya ndoa, na mengine mengi watembelee leo uweze kusaidika. Kwa mengi tembelea wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza kutuma barua pepe kwa kiwangadoctors@gmail.com pia waweza kumpigia simu/WhatsApp kwa nambari +254769404965



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments