MREMBO AWAPIGIA SIMU POLISI KURIPOTI KUWA MPENZI WAKE HAKUMPIGA BUSU


Mwanamke mmoja amewapigia polisi simu huko Lincolnshire nchini Uingereza kuripoti kuwa mpenzi wake hakumpiga busu, kwa mujibu wa polisi wa kituo hicho.

Sasa polisi wametoa wito kwa watu kutumia namba hiyo yao ya 999 kwa masuala ya dharura tu haswa wakati maisha au mali vimo hatarini.

Polisi wanasema wengine hutumia namba hiyo ya simu kuuliza kuhusu daktari wa meno au kuripoti ukosefu wa maji.

Wanasema wakati wa Krismasi huwa wa shughuli nyingi zaidi wa mwaka. "Kutupigia simu kwa 999 kwa sababu mpenzi wako hawezi kukubusu haina maana," Polisi walisema.

"Tunajaribu kuelewa sababu za watu kupiga 999 kama ni uwongo, zisizo na maana au zisizofaa, lakini tunabaki kushangaa ni kwa nini"

Mwaka uliopita kati ya terehe 20 Desemba na Januari 2, kituo cha simu cha polisi kilipokea takriban siku 265 za dharura 

Wanasema wakati wa krimasis huwa wa shughuli nyingi zaidi wa mwaka. "Kutupigia simu kwa 999 kwa sababu mpenzi wako hawezi kukubusu haina maana," Polisi walisema.




Polisi walisema watu wanastahili kupiga namba ya 999 wakati mtu au au kitu kipo kwenye hatari au wakati uhalifu unafanyika, msemaji alisema.


Mike Modder-Fitch, ambaye anasimamia kituo cha polisi cha kupokea simu anasema simu zinazotupa muda zinaweza kuzuia watu wanaohitajia msaada wa dharura wa kuwatishia maisha kufika.


"Kama ni simu ya uongo au si suala la kijamii basi tutaikata kuruhusu simu zingine kuingia." kwa siku licha ya nchi kuwa chini ya amri ya kutotembea kufutaia sheria za covid.

Polisi walisema watu wanastahili kupiga namba ya 999 wakati mtu au au kitu kipo kwenye hatari au wakati uhalifu unafanyika, msemaji alisema.

Mike Modder-Fitch, ambaye anasimamia kituo cha polisi cha kupokea simu anasema simu zinazotupa muda zinaweza kuzuia watu wanaohitajia msaada wa dharura wa kuwatishia maisha kufika.

"Iwapo tutahisi sio dharura ya kweli lakini bado ni suala la jamii, tutaipeleka simu yako kwa mtu mwingine ambaye anaweza pia kukusaidia ili isifungie simu zingine za 999," alisema.


"Kama ni simu ya uongo au si suala la kijamii basi tutaikata kuruhusu simu zingine kuingia."

CHANZO- BBC SWAHILI

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments