DC NAWANDA AFUNGUA SEMINA YA MAFUNZO KWA WADAU WA USAFIRISHAJI


Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mjini, Yahaya Nawanda, akifungua Semina ya mafunzo kwa wadau wa usafirishaji (hawapo pichani), kuhusu Sheria ya Udhibiti Uzito wa Magari ya Afrika Mashariki ya mwaka 2016 na kanuni zake za mwaka 2018, mkoani Tabora. 


Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mjini, Yahaya Nawanda, akimuelekeza jambo Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji, wakati akifungua semina ya mafunzo kuhusu Sheria ya Udhibiti Uzito wa Magari ya Afrika Mashariki ya mwaka 2016 na kanuni zake za mwaka 2018, mkoani Tabora. 


Baadhi ya washiriki wa semina ya mafunzo kuhusu Sheria ya Udhibiti Uzito wa Magari ya Afrika Mashariki ya mwaka 2016 na kanuni zake za mwaka 2018, wakifuatilia kwa makini mafunzo hayo mkoani Tabora 


Mhandisi Joseph Rwihura, ambae ni Mhandisi Mkuu Matengenezo ya Mizani kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), akitoa elimu kuhusu Sheria ya Udhibiti Uzito wa Magari ya mwaka 2016 na kanuni zake za mwaka 2018 kwa wadau wa usafirishaji mkoani Tabora. 


Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mjini, Yahaya Nawanda, (wa tatu kutoka upande wa kulia), akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi wadau wa usafirishaji baada ya kufungua Semina ya Mafunzo kuhusu Sheria ya Udhibiti Uzito wa Magari ya mwaka 2016 na kanuni zake za mwaka 2018 mkoani Tabora. 

Picha na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments