Breaking

Post Top Ad

Monday, October 18, 2021

Video Mpya : NTEMI OMABALA 'Ng'wana Kang'wa' - SEBHA


Hii hapa  video Mpya ya Msanii Ntemi Omabala kutoka Kahama Mkoani Shinyanga inaitwa Sebha..Sebha ni neno la Kisukuma linalomaanisha Mungu katika Lugha ya Kiswahili...Burudika mtu wangu

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages