Rais Samia Suluhu Hassan, leo amewaapisha Viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni.
Viongozi hao walioapishwa katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma ni pamoja na Sofia Mjema aliyeapishwa kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga na Jaji Omar Othman Makungu aliyeapishwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania.
Mwingine aliyeapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan ni Jaji Mustapha Siyani ambaye ameapishwa kuwa Jaji Kiongozi.
Hafla hiyo imehudhuriwa na Viongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin