Picha : WAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB MASWA WAKIENDELEA KUADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi, Sospeter Njile Magesse (katikati) akipiga picha na Wafanyakazi wa Benki ya NMB tawi la Maswa Mkoa wa Simiyu leo Jumatano Oktoba 6,2021 wakati wakiendelea kuadhimisha Wiki ya Huduma Kwa Wateja  mwaka 2021 ikiwa na Kauli Mbiu ya 'Nguvu ya Huduma (The Power of Service). Wa pili kulia ni Meneja Mahusiano Serikali na Benki ya NMB Kanda ya Magharibi Bi. Vivian Nkhangaa.

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi, Sospeter Njile Magesse amesema Benki ya NMB ni Benki kubwa kuliko Benki yoyote nchini Tanzania ikiwa na Matawi zaidi ya 226,ATM zaidi ya 800 nchi nzima, NMB Wakala zaidi ya 9000 pamoja idadi ya wateja zaidi ya milioni 4 ambayo ni hazina kubwa ukilinganisha nyingine zote nchini na imefanikiwa kuzifikia wilaya zote nchini kwa asilimia 100

Magesse amesema Benki ya NMB inaendelea kuboresha huduma za kibenki kwa njia ya mitandao ili kufikisha huduma za kibenki kwa wananchi wengi zaidi.

"Ili kuendelea kuwa mbele kwenye utoaj huduma kwa wateja wetu,mapema wiki hii tumezindua Hati ya kiapo cha huduma kwa mteja (Customer service charter) kuonyesha kwa vitendo nguvu ya huduma kwa wateja wetu. Ndani ya kiapo hicho tunatoa kiapo cha kutekeleza upatikanaji wa huduma ya uhakika,usikivu,uhakika wa kuaminika, weledi na nidhamu, na usalama wa taarifa za mteja",amesema.

Aidha amewaomba wananchi kuendelea kutumia huduma mbalimbali zinazotolewa na Benki ya NMB ikiwemo Bima na Mikopo.
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi, Sospeter Njile Magesse (katikati) akipiga picha na Wafanyakazi wa Benki ya NMB tawi la Maswa Mkoa wa Simiyu leo Jumatano Oktoba 6,2021 wakati wakiendelea kuadhimisha Wiki ya Huduma Kwa Wateja  mwaka 2021 ikiwa na Kauli Mbiu ya 'Nguvu ya Huduma (The Power of Service).  Picha na Kadama Malunde - Malunde  1 blog
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi, Sospeter Njile Magesse (katikati) akipiga picha na Wafanyakazi wa Benki ya NMB tawi la Maswa Mkoa wa Simiyu leo Jumatano Oktoba 6,2021 wakati wakiendelea kuadhimisha Wiki ya Huduma Kwa Wateja  mwaka 2021 ikiwa na Kauli Mbiu ya 'Nguvu ya Huduma (The Power of Service). 
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi, Sospeter Njile Magesse (katikati) akipiga picha na Wafanyakazi wa Benki ya NMB tawi la Maswa Mkoa wa Simiyu leo Jumatano Oktoba 6,2021 wakati wakiendelea kuadhimisha Wiki ya Huduma Kwa Wateja  mwaka 2021 ikiwa na Kauli Mbiu ya 'Nguvu ya Huduma (The Power of Service). 

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments