Breaking

Post Top Ad

Tuesday, October 26, 2021

SIMBA SC YAPELEKWA ZAMBIA KUKIPIGA NA RED ARROWS


Klabu ya soka ya Simba SC imepangiwa kucheza na Red Arrows ya Zambia kwenye mechi ya mtoano kuwania kuingia hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mechi ya kwanza itapigwa Novemba 28, 2021 Dar es salaam na kurudiana Desemba 5, 2021.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages