TAMISEMI WANG'ARA MASHINDANO YA SHIMIWI YALIYODHAMINIWA NA AGRICOM AFRICA LTD

 

TAMISEMI wang'ara kwenye mashindano ya SHIMIWI yanayodhaminiwa na Agricom Africa Ltd

Afisa masoko na mauzo wa Agricom Africa Ltd Mr Mathias akiwa na mteja katika uwanja wa Jamhuri baada ya mteja kuinunua Kwa of a maalumu ya kipindi hiki cha mashindano ya SHIMIWI.

TAMISEMI wakiwa anafurahia ushindi wa riadha katika mashindano ya SHIMIWI yanayodhaminiwa na Agricom Africa Ltd







 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments