Breaking

Post Top Ad

Friday, October 22, 2021

RAPA BIG SEAN APIGA PICHA NA NYUKI 65,000
Picha ya Big Sean akiwa na nyuki hao Elfu 65

Rapa Big Sean kutoka nchini Marekani ameshea picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa na kundi la nyuki wakati ana shoot video yake mpya ya “What A Life”, Big Sean anadai kwamba nyuki hao walikuwa Elfu 65,000 mwilini mwake.

Big Sean ameongeza kusema alikuwa na upendo kwa mzinga wa nyuki, na hataki kufikiria suala hilo kama lilikuwa na athari kwake au ujinga.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages