Breaking

Post Top Ad

Tuesday, October 26, 2021

ATUPWA JELA BAADA YA KUULIZA GOOGLE NAMNA YA KUUA MTU


Picha ya Jamar Bailey

Kijana Jamar Bailey (21) mkazi wa Birmingham amehukumiwa kifungo cha zaidi ya miaka 25 jela baada ya kujaribu kuua mtoto mwenye umri wa wiki tatu mwezi Juni mwaka huu.

Jamar alitumia mtandao wa Google kuuliza namna ya kuua mtoto kwa kumnywesha sumu ambapo baada ya kupima haja ndogo wataalamu wa afya waligundua kuwa alinyweshwa ‘Sodium Valporate’ dawa zinazotumika kutibu ugonjwa wa kifafa na Maradhi ya hisia (Bipolar) ambazo zinauweza wa kumuuwa mtoto mchanga.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages