MCHUNGAJI ADAIWA KUMUUA MKEWE ALIYECHEPUKA NA KUMWAMBUKIZA VIRUSI VYA UKIMWI


Picha ni eneo la tukio huko Kenya

Mchungaji George Abisa kutoka katika Kaunti ya Nyamira, huko nchini Kenya anadaiwa kumuua mkewe kwa kisu baada ya kugundua alimuambukiza virusi vya UKIMWI.

Baada kutekeleza tukio hilo la mauaji aliandika barua iliyokuwa na ujumbe ambao ulieleza kuwa mkewe alikuwa amemuambukiza VVU/UKIMWI kufuatia kuchepuka na mwanasiasa wa eneo hilo kisha na yeye kujiua.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments