WATUMISHI WA MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA(TEA) WASHIRIKI TAMASHA LA MICHEZO

Watumishi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania( TEA) wakipata picha ya pamoja mara baada ya kushiriki kwenye Tamasha la Michezo la siku moja kwa lengo la kuimarisha afya na uhusiano wa kazi.
Watumishi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania( TEA) wakishindana kuvuta kama katika Tamasha la Michezo la siku moja kwa lengo la kuimarisha afya na uhusiano wa kazi.

Watumishi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania( TEA) wakishiriki mchezo wa kukimbia na magunia kwenye Tamasha la Michezo la siku moja kwa lengo la kuimarisha afya na uhusiano wa kazi.
****************

Watumishi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania( TEA) wameshiriki kwenye Tamasha la Michezo la siku moja kwa lengo la kuimarisha afya na uhusiano wa kazi. Tamasha hilo la siku moja lilifanyika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Ardhi jijini Dar es Salam na kuwakutanisha watumishi hao ambapo walishiriki michezo mbali mbali ikiwa ni pamoja na mpira wa miguu, mpira wa pete, kukimbiza kuku, kukimbia na magunia. Zoezi hilo la mazoezi liliendeshwa na wataalam wa mazoezi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments