ASKARI POLISI 7 WAFUKUZWA KAZI TANZANIA KWA KUINGIA MALAWI - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Tuesday, September 21, 2021

ASKARI POLISI 7 WAFUKUZWA KAZI TANZANIA KWA KUINGIA MALAWI


Jeshi la Polisi limewafukiza kazi askari wake 7 wa kituo cha Polisi Wilaya ya Ileje baada ya kukutwa na kosa la kuvuka mpaka wa Tanzania na kuingia Malawi wakiwa wamevaa sare za Jeshi na silaha za moto kinyume cha sheria.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, ACP Janneth Magomi amesema hatua hiyo imefikiwa baada ya askari hao kufikishwa katika Mahakama ya Kijeshi Septemba 20, 2021 na kuwakuta na hatia.

Via Mwananchi


Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages