CAF YARUHUSU MASHABIKI WA YANGA DHIDI YA RIVERS UNITED YA NIGERIA


Hatimaye Yanga SC imeruhusiwa kuingiza mashabiki katika mchezo wake dhidi ya Rivers United ya Nigeria.

Yanga SC watakuwa wenyeji wa Rivers United Jumapili Saa 11:00 jioni katika mechi ya kwanza ya Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kabla ya timu hizo kurudiana Septemba 19 Uwanja wa Adokiye Amiesimaka Jijini Port Harcourt, Nigeria.

Na leo imetaja viingilio vya mechi hiyo ambavyo ni Sh. 30,000 VIP A, 20,000 VIP B, 10,000 VIP C na 5,000 kwa mzunguko.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments