HUYU NDIYE MWANAMKE MREMBO NA MWENYE MVUTO ZAIDI DUNIANI | MALUNDE 1 BLOG

Friday, September 24, 2021

HUYU NDIYE MWANAMKE MREMBO NA MWENYE MVUTO ZAIDI DUNIANI

  Malunde       Friday, September 24, 2021


Mwanamitindo maarufu nchini Marekani, Isabella Khair Hadid “Bellahadid” mwenye asiri ya Palestina na Dutch, anatajwa kuwa ndio mwanamke mrembo zaidi duniani.

Kwa mujibu wa tafiti za wanasayansi wa masuala ya urembo, Bellahadid ambaye aliwahi kushinda taji la Mwanamitindo wa Mwaka (“Model of the Year 2016”) inaelezwa kwamba muonekano wake hauna kasoro kwa asilimia 94.35.

Watafiti hao wamezingatia vitu vifuatavyo katika maumbile ya Bellahadid.

👉PUA
👉MACHO
👉 KOMWE
👉KIDEVU
👉 KICHWA

Uchunguzi uliofanywa na “Golden Ratio of Beauty Phi,” ulieleza kwamba;


“Bella Hadid ni mwanamke mrembo na mwenye mvuto zaidi duniani kwa kuwa na muonekano mzuri. Kila kitu hapa kipo kamili, kuanzia taya, macho, midomo mpaka uso.”

Mpaka sasa tunapozungumza (Mwaka huu 2021), Bellahadid bado anaendelea kushikilia nafasi ya kwanza kwa urembo duniani.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post