ASKARI WA SUMA JKT MBARONI TUHUMA ZA KUTESA MTU HADI KUMUUA - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Tuesday, September 7, 2021

ASKARI WA SUMA JKT MBARONI TUHUMA ZA KUTESA MTU HADI KUMUUA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha ACP Justine Masejo

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia askari watatu wa Suma JKT kwa tuhuma za kumtesa hadi kumuua mkazi wa eneo la Ngaramtoni wilayani Arumeru, Almasi Mohamed wakimtuhumu kwa wizi wa mahindi.

Kamanda wa Polisi Mkoa Arusha, Jastine Maseju amesema watuhumiwa hao ni walinzi shamba la Wakala wa Taifa wa Uzalishaji na Uendelezaji wa Mbegu za Kilimo (ASA) lililopo eneo la Ngaramtoni wilayani Arumeru.

Chanzo - Mwananchi

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages