NEC : JIMBO LA KONDE LIPO WAZI BAADA YA MBUNGE KUJIUZULU | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, August 3, 2021

NEC : JIMBO LA KONDE LIPO WAZI BAADA YA MBUNGE KUJIUZULU

  Malunde       Tuesday, August 3, 2021

 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imelitangaza Jimbo la Konde huko Pemba kuwa wazi baada ya mbunge mteule, Sheha Mpemba Faki kutangaza kujiuzulu kabla ya kuapishwa na taratibu za kujaza nafasi hiyo zitatangazwa hivi karibuni.Taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dk Wilson Mahera imeeleza kuwa tume imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Agosti 2 ikitoa taarifa kuwa mbunge huyo mteule aliandika barua kwa chama chake kukitaarifu kuwa hayupo tayari kuwawakilisha wananchi wa Konde katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na changamoto za kifamilia.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post